WAFANYA BIASHARA MBALI MBALI WALIOPO MAENEO YA MJI MKONGWE HAPA VISIWANI ZANZIBAR WAMETAKIWA KUFIKA KATIKA OFISI ZA BARAZA LA MANISPAA KULIPIA MABANGO YAO YA BIASHARA.
AKIZUNGUMZA NA MOJA YA KITUO CHA RADIO MJINI HAPA AFISA MAPATO WA BARAZA LA MANISPAA BI MWANAMVUA NASSOR SALUM AMESEMA INGAWA WAFANYA BIASHARA MBALI MBALI AMBAO WAPO MAENEO YA MJI MKONGWE WAMEPATA VIBALI VYA KUWEKA MABANGO YA MATANGAZO KUTOKA MAMLAKA YA MJI MKONGWE LAKINI WANATAKIWA KULIPIA MATANGAZO YAO KATIKA BARAZA LA MANISPAA ZANZIBAR.

No comments:
Post a Comment