August 31, 2009

MOTO WAZUKA HUKO LOS ANGELES MAREKANI



WAZIMA MOTO KATIKA JIMBO LA CALIFONIA NCHINI MAREKANI WAMESEMA MOTO UNAOWAKA MISITUNI UNATISHIA KIASI CHA NYUMBA 12,000 AMBAZO ZIMEJENGWA KARIBU NA MILIMA KASKAZINI MWA LOS ANGELES.
UKIPATA NGUVU KUTOKANA NA HALI YA HEWA YA JOTO , MOTO HUO UMEHARIBU ZAIDI YA KILOMETA ZA MRABA 140 KATIKA MSITU WA TAIFA WA ANGELES NA BADO HAUJADHIBITIWA.

No comments:

Post a Comment