August 30, 2009

MAN UNITED 2-1 ARSENAL 1


NIWAOMBE RADHI KWA KUTOKUWA HEWANI KWA MUDA AMBAO HUKUWEZA KUPATA UPDATE YA KILA EVENT , KWANI MAMBO MAZURI SIKU ZOTE HAYATAKI HARAKA ILA KWA UWEZO WAKE ALLAH MAMBO HUWA MAZURI. RAMADHAN KAREEM WANGU MSOMAJI WA BLOG HII.
ILIKUWA NI SIKU YA AINA YAKE KWA MASHETANI WEKUNDU MAN UNITED KUWASHUSHIA KIPONDO TIMU YA ARSENE WENGER ARSENAL KWA JUMLA YA MABAO 2 - 1. MABAO AMBAYO YAMEFUNGWA NAE WAYNE ROONEY AKISAWAZISHA BAO LILILOFUNGWA NA ANDRE ASHAVIN WA ARSENAL KWA SHUTI KALI, ROONE ALITUMIA VIZURI NAFASI YA PENATI AMBAYO WALIIPATA BAADA YA YEYE MWENYEWE KUFANYIWA MADHAMBI KTK ENEO LA HATARI.



BAO LA PILI LA MAN U LILIFUNGWA NAE MCHEZAJI WA ARSENAL DIABY BAADA YA PILIKA PILIKA ZA KUOKOA MPIRA WA ADHABU NDOGO ILIYOKUWA IMECHONGWA NAE MKONGWE RYAN GIGGS NA KUJIKUTA AKIWARAHISISHIA KAZI MAN U NA KUJIKUTA MWISHO WA SIKU MAN 2-1 ARSENAL. NAONA MDAU WA BLOG HII AKIWA MTAMBONI KWA FURAHA BAADA YA KUAPATA HABARI NJEMA ZA OLD TRAFFORD.

No comments:

Post a Comment