June 4, 2009

JE? KOMBE LITABAKI AFRICA WORLD CUP 2010

HII NI SKETCH MAP YA SOUTH AFRICA AMBAYO INAKONYESHA MIJI MBALIMBALI AMBAYO MECHI ZA WORLD CUP ZITAPIGWA KULINGANA NA MPANGILIO WA VIWANJA ULIVYOWEKWA, NA NI KARIBU MIJI YOTE YA NCHI HIYO VIWANJA VIMEENEA KUNA CAPE TOWN, PORT ELIZABETH, DURBAN, RUSTENBURG NA SEHMU NYINGINE HAPO JUU.
NA HII BASI NI KUONDOA UTATA WA SEHEMU ZINGINE KUKOSA MECHI HIZO KWA KUEGEMEA MJI MMOJA KAMA ILIVYO KATIKA NCHI ZA HUKU KWETU.



UKIWA KAMA MDAU WA BLOG HII, JARIBU KUTOA TATHMINI FUPI JUU YA VIWANJA AMBAVYO SOUTH AFRICA WAMEVIANDAA KWA AJIRI YA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA 2010. HIKI NI MOJA KATI YA KIWANJA AMBACHO KITATUMIKA KATIKA MICHUANO HIYO NA KINAPATIKANA MAENEO YA SENZANGAKHONA MJINI DURBAN NCHINI SOUTH AFRICA.

NAWEZA KUSEMA NI MUDA WA MIAKA MIWILI HIVI MPAKA KUFIKIA HAPO ULIPO HIVI SASA, HEBU CHEKI JAMANI , KWA MTINDO HUU KOMBE LINABAKI HAPA HAPA AFRIKA KWANI LIMECHOKA KUBEBWA NA WAZUNGU EVERY DAY. MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI AFRICA.

No comments:

Post a Comment