May 30, 2009

TUATAFIKA LINI KWA STAILI HII?






HILI NI GARI LA HUDUMA YA KWANZA A.K.A (AMBULANCE) AMBALO LINAPASWA KWENDA KUOKOA AMA KUBEBA WAGONJWA AU MIILI YA WATU WALIOPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA MELI YA FATHI , LAKINI TABIA HII ITAISHA LINI , KWANI GARI HII IMELALA WAPI NA DEREVA ALIKUWA WAPI MPAKA MIDA HII GARI NDO LINAFUNGWA MPIRA (TAIRI) . TAZAMA DEREVA NDO HUYO ANASAIDIANA NA WENZAKE ILI WAWEZE KUWAHI KTK UOKOAJI.

No comments:

Post a Comment