
HAWA NI BAADHI YA WANANCHI NA MANESI WA MJINI UNGUJA WAKIWA MBELE YA MORTUARY YA HOSPITALI YA MNAZI MMOA ZANZIBAR WAKISUBIRI MAITI WA AJALI YA MELI YA FATHI, ZILETWE ILI WAWEZE KUWATAMBUA NDUGU ZAO NA KUWACHUKUA KWA AJILI YA MAZIKO NA MAOMBOLEZO, HUYO JAMAA MWENYE BUTI NYEUPE NDO MUHUSIKA HAPO LAKINI YUKO BIZE NA SIMU.MAITI ZILIZOPATIKANA NI TATU TU MPAKA SASA MAMA MMOJA NA MWANAE AMBAO NI WAKAZI WA ZANZIABAR, PAMOJA NA DADA MMOJA KUTOKA DAR ES SALAAM AMBAO WTE HAO MAJINA YAO HAYKUWEZA KUPATIKANA MARA MOJA.
No comments:
Post a Comment