
ASKARI HUYU ALIKUWA AKIBISHANA NA BADHI YA WAZAMIAJI KTK PWANI YA SHANGANI MBELE YA HOTEL YA AFRICAN HOUSE ZANZIBAR, AMBAO KWA KIASI KIKUBWA WALIGUSWA NA AJALI YA MELI YA FATHI NA KUAMUA KUOKOA MIZIGO HIYO BAADA YA ZOEZI LA KOUKOA WATU KUONEKANA ZITO KWA SABABU AMBAZO HAZIKUWEZA KUPATA UFUMBUZI WA HARAKA.
No comments:
Post a Comment