May 30, 2009

BAADHI YA MIZIGO ILIYOOKOTWA NA MADAIVA


KUSHOTO NI PIPA LA OIL, MAGUNIA YA MBATATA NA MBAO VIKIWA KATIKA FUKWE YA SHANGANI MBELE YA HOTEL YA AFRICAN HOUSE ZANZIBAR.PMBENI KULIA NI MMOJA WA MADAIVA AMB AYE JINA LAKE HALIKUWEZA KUPATIKANA MARA MOJA.USICHOKE KUTEMBELA BLOG HII KWANI MAMBO NDO KWANZA YANAANZA.

No comments:

Post a Comment