MELI IITWAYO FATHI YAZAMA BANDARINI ZENJ
HABARI TOKA VISIWANI ZANZIBAR ASUBUHI YA LEO HII ZIMETHIBITISHA KUWA MELI IITWAYO FATHI IMEZAMA JANA MAJIRA YA SAA NNE USIKU WA KUAMKIA LEO IKIWA NA ABIRIA WAKE BAADHI NA SHEHENA YA MIZIGO MBALIMBALI. HIZI NI BAADHI YA PICHA KWA UPANDE WA HOSPITALI AMBAKO MIILI YA MAREHEMU IMEHIFADHIWA KATIKA HOSPITAL YA MNAZI MMOJA.
No comments:
Post a Comment