NISAAR NA GAASA NENDENI GOLI LILE KULEE
VIJANA WA TIMU YA SOKA YA TANZANIA (TAIFA STARS) WAKIWA MAZOEZINI KATIKA UWANJA WA KARUME JIJINI DAR ES SALAAM. KULIA NI KOCHA MARCIO MAXIOM AKITOA MAELEKEZO KWA WACHEZAJI WAKE. STARS INAJIANDAA NA MCHEZO WA KIRAFIKI DHIDI YA TIMU YA TAIFA YA NEW ZEALAND UTAKAOFANYIKA KATIKA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM JUNI 3
No comments:
Post a Comment