
Rio Ferdinand sasa yuko fiti kwa ajiri ya kuivaa FC Barcelona siku ya jumatano ya mwezi huu tarehe 27-5-2009, na hii basi ni kwa kukosekana katika baadhi ya mechi za mwisho za ligi kuu ya nchini uingereza ambapo timu yake ya Manchester United imemaliza ligi hiyo ikiwa na pointi 90 na kutawadhwa mabingwa wa Barclays Premium League.
No comments:
Post a Comment