May 25, 2009

BAHOBAHO LAKINI....?


Wakati ikiwa ni siku chache baada ya timu yake ya New Castle kufanya vizuri katika ligi kuu ya uingereza, Kocha wa timu hiyo Alan Shearer mwishoni mwa wiki jana, amejikuta akiungana na Southgate ambaye ni Kocha wa Middlesbrough katika maombolezo ya kushuka daraja baada ya kupata kichapo cha bao moja kwa bila dhidi ya Aston Villa.

No comments:

Post a Comment