July 13, 2011

HUU NI UWANJA WA AMAAN ZANZIBAR - TAABAN


NI MATENGENEZO MENGINE YA KIENYEJI NDIYO AMBAYO YANAFANYIKA HAPO KWA HIVI SASA, NAKUMBUKA ILIKUWA JULY MOSI NDO NILIKATIZA MITAA HII YA AMAAN NA KUKUTA HARAKATI HIZO ZIKIENDELEA.
LAKINI WAHUSIKA AMBAO NDIO WENYE DHAMANA YA UWANJA HUU NI MENEJA ALLY KHAMIS AMBAE YEYE ALINIAMBIA KWAMBA UWANJA UKO KATIKA HALI MBAYA, KWANI MAJANI YALIOKUWA YAMEPANDWA AWALI NA WACHINA YALISHINDWA KUMEA VIZURI, HIVYO KUOTEANA HOVYO KAMA MSITU NA HATIMAE KUWEKA VISIKI. 
SASA KWA KUONA HIVYO NDO IKAWABIDI WAUFUMUE ILI WAWEZE KUWEKA HALI YA HEWA SAWA KATIKA UWANJA HUU, IKIWA NI PAMOJA NA KUPANDA NYASI ZINGINE ZENYE KUENDANA NA HALI YA HEWA YA ZANZIBAR. ILA SISI WENGINEO AMBAO NI WAPENZI WA MBIO ZA 100. 200 KURUSHA TUFE NA MICHEZO MINGINE RAHA TUPU KWANI TATANI  BADO MBICHI.


No comments:

Post a Comment