
HAYA NI KIVUMBI GOLINI KATI KOBE BRAYNT NA WACHEZAJI WA ORLANDO MAGIC GOLINI WAKIWANIA MPIRA ULIOKO HEWANI

DWIGHT HOWARD MWENYE JEZI #12 WA MAGIC AKICHUMPA KUWEKA MPIRA KIMIANI
MCHEZAJI WA LA LAKERS PAUL GASOL MWENYE JEZI #16 AKIELEKEA KUIPATIA TIMU YAKE POINT HUKU MCHEZAJI WA ORLANDO MARCIN GORTAT AKIJARIBU KUMZUIA ASILETE MADHARA GOLINI LA LAKERS WALIPATA POINT 100 NA MAGIC WAO WALIPATA POINT 75.

LOS ANGELIS –JUNE 4: HEDO TURKOGLU MWENYE JEZI #15 WA ORLANDO MAGIC AKIJARIBU KUMTOKA TREVOR ARIZA MWENYE JEZI #3 WA LOS ANGELS LAKERS WAKATI WA MECHI YA JANA YA FAINALI YA NBA HUKO MAREKANI.
No comments:
Post a Comment