
RAIS WA SHIRIKISHO LA SOKA DUNIANI SEPP BLATTER AMESEMA VIWANJA VYA SOKA DUNIANI VIJARIBU KUJENGWA KWA STAILI YA KIISTRAABU ILI KUWEZA KUPUNGUZA MAJANGA YANAYOTOKEA MARA KWA MARA KATIKA VIWANJA HIVYO.
BLATTER AMEYASEMA HAYO ALIPOKUWA AKITOA MAELEKEZO NA BODI YA FIFA HUKO BAHAMAS AMBAPO VIWANJA VYAKE VIMEWEKEWA NYAVU NA HIVYO HUWALAZIMU WATAZAMAJI KUTAZAMA MPIRA KAMA WAPO MAGEREZANI JAMBO AMBALO BLATTER HAJAPENDELEA NA KULIITA NI LA KINYAMA NA HAKUNA TOFAUTI YA MNYAMA NA BINADAMU KWA HALI KAMA HIYO.
HIVYO AMEZITAKA NCHI ZOTE KUJENGA VIWANJA LAKINI VIWE NA USALAMA NJE NA DANI YA UWANJA NA SI KWA KUWEKA WAVU KWA WASHABIKI, NA KUSISITIZA KWAMBA PAWEPO NA UBINADAMU NA SIO UNYAMA KWANI MPIRA NI BURU7DANI HIVYO WAWATENDEE UTU WATAZAMAJI WAO.
No comments:
Post a Comment