June 4, 2009

Dwight Howard nae atakuwepo


Mchezaji Howard pamoja nae Hedo Torkoglu watakuwa ni miongoini mwa washambuliaji wakubwa katika mpambano wa leo kati ya Orlando na LA Lakers katika fainali ya kwanza ya NBA.

No comments:

Post a Comment