KOCHA
WA SENEGAL JOSEPH KOTO AMETAJA KIKOSI CHAKE KITAKACHOVAANA NA IVORY
COAST KWENYE MCHEZO WA KUWANIA TIKETI YA
AFCON 2013 UTAKAOPIGWA SEPTMBER 8 MJINI ABDIJAN.
WENGI
WA WACHEZAJI WALIOSHEHENI KATIKA KIKOSI HICHO NI WALE
WALIOSHIRIKI KATIKA MICHUANO YA KOMBE LA MATAIFA YA AFRIKA 2012,
NA WALIOPUUZWA NA UONGOZI WA SHIRIKISHO LA SOKA NCHINI HUMO BAADA YA KUFANYA
VIBAYA KATIKA MICHUANO HIYO ILIYOFANYIKA KATIKA NCHI ZA GABON NA GUINEA YA IKWETA.
WACHEZAJI DEMBA
BA, MOUSSA SOW,
ISSIAR DIA, ABDOUL
KADER MANGANE NI MIONGONI MWA
WACHEZAJI WATAKAOINGIA KAMBINI SEPTEMBER 2, KABLA YA SEPTEMBER 6 KUANZA SAFARI
YA KUELEKEA ABDIJAN.
No comments:
Post a Comment