KOCHA WA TIMU YA TAIFA YA KONGO DRC, CLAUDE LEROY AMEITA
KIKOSI CHA WACHEZAJI 35 WATAKAOINGIA KAMBINI KWA MAANDALIZI YA MCHEZO WA
KIMATAIFA DHIDI YA TIMU YA GINE YA IKWETA WA KUTAFUTA TIKETI YA AFCON 2013
UTAKAOCHEZWA SEPTEMBER 9.
KIKOSI HICHO CHA KONGO KIMESHEHENI WACHEZAJI KUMI NA TISA
WANAOCHEZA LIGI YA NYUMBANI, NA WENGINE KUMI NA SITA WATATOKA VILABU VYA NJE YA
KONGO.
MAZOEZI YA TIMU HIYO YAMEGAWANYWA KATIKA VIPENGELE VIWILI,
AWAMU YA KWANZA ITAANZA AUGUST 28 MPAKA SEPTEMBER 2 IKIHUSISHA WACHEZAJI WA
LIGI YA NYUMBANI, AMBAPO BAADAE WATAUNGANA NA WACHEZAJI WAKULIPWA WAKIUNGANA NA
WALE WALIO KATIKA KLABU YA TP MAZEMBE MARA BAADA YA MCHEZO CAF CHAMPIONS LIGI
KUMALIZIKA KATI YA TP MAZEMBE NA AL AHLY.
No comments:
Post a Comment