June 4, 2009

NANI KUIBUKA MBABE KATI YA LA.LAKERS NA O.MAGIC






WAPENZI WA BASKET BALL LEO NI SIKU YA FAINALI YA KWANZA KATI YA LA. LAKERS NA ORLANDO MAGIC, KATIKA LIGI YA MPIRA WA KIKAPU HUKO MAREKANI UJULIKANAO KWA JINA MAARUFU LA NBA.

MCHEZO HUO AMBAO UNAWAKUTANISHA MABINGWA MARA TANO WA MICHUANO HIYO LAKERS WATAKUWA KATIKA WAKATI MGUMU WA KUTAKA KUONYESHA MAKALI YAO NA UBABE WAO PALE WATAKAPOKUWA WAKIKABILIANA NA TIMU AMBAYO HAIJAWAHI KUSHINDA MCHEZO WOWOTE WA FAINALI JAPO WAMEWAHI KUFIKIA HATUA HIYO, HII ITAKUWA NI CHANGAMOTO KWAO KUHAKKIKISHA L. LAKERS HAWATAMBI MBELE YAO.


LA LAKERS INATEGEMEA KUWATUMIA WACHEZAJI WAKE NYOTA KOBE BRAYNT, PAUL GASOL PAMOJA NAE ARIZA HUKU ORLANDO MAGIC WAO WATAWATUMIA WACHEZAJI DWIGHT HOWARD NA HEDO TURKOGLU ILI KUWEZA KUTOA USHINDANI WA KUTOSHA KATIKA FAINALI HIYO ITAYOCHEZWA LEO USIKU MAJIRA YA SAA KUMI NUSU USIKU.

No comments:

Post a Comment