September 14, 2009

SIPIGIWI NACHEZA,. MAMBO NDO KWANZA LEO YANAANZA - UEFA CHAMPIONS LEAGUE TIME TABLE


Tuesday, September 15, 2009

Time   Home   Away  STAGE  VENUE

19:45 UK Atlético Madrid v Apoel Nicosia Group D Vicente Calderon

19:45 UK VfL Wolfsburg v CSKA Moscow Group B Volkswagen Arena

19:45 UK Chelsea v FC Porto Group D Stamford Bridge

19:45 UK Maccabi Haifa v Bayern Munich Group A Kiryat Eliezer

19:45 UK Marseille v AC Milan Group C Stade Vélodrome

19:45 UK Juventus v Bordeaux Group A Olimpico Grande Torino

19:45 UK FC Zürich v Real Madrid Group C Letzigrund Stadion

19:45 UK Besiktas v Manchester United Group B Besiktas Inönü

Wednesday, September 16, 2009

Time Home Away STAGE VENUE

19:45 UK Liverpool v Debrecen Group E Anfield

19:45 UK Lyon v Fiorentina Group E Stade de Gerland

19:45 UK Sevilla FC v Unirea Urziceni Group G Estadio Ramon Sanchez Pizjuan

19:45 UK Dynamo Kiev v FK Rubin Kazan Group F Lobanovsky Dynamo Stadium

19:45 UK Internazionale v Barcelona Group F Giuseppe Meazza

19:45 UK VfB Stuttgart v Rangers Group G Mercedes-Benz Arena

19:45 UK Olympiakos v AZ Alkmaar Group H Karaiskaki Stadium

19:45 UK Standard Liege v Arsenal Group H Stade de Sclessin

Messi to be Barca's biggest earner with new deal

Lionel Messi will become Barcelona's highest-paid player when he signs a new contract this week, according to club president Joan Laporta.

Messi is widely regarded as one of the finest players in the world.

The Argentina star, 22, is one of world football's leading lights and last season helped inspire Barcelona to an unprecedented treble as they collected the Primera Liga, Copa del Rey and Champions League titles.

Messi scored 38 goals in all competitions, as well as claiming 16 assists, and is rated as one of the favourites to succeed Cristiano Ronaldo as FIFA World Player of the Year in December.

The forward's current contract expires in 2014 but Barca are determined to keep hold of the Nou Camp hero and, despite the high-profile signing of Zlatan Ibrahimovic in the summer, have agreed a deal that will see Messi rise to the top of the club's top earners list.

"Leo should be the highest-paid player in the squad," Laporta told Catalan radio. "He deserves it. He's the best player in the world and one of the best in football history.

"Messi has already agreed to a new contract. He's content and that's why he's playing the way he is."

Laporta is also hopeful of retaining the services of captain Carles Puyol despite recent suggestions that the player may not be entirely happy at Camp Nou following the acquisition of Ukrainian defender Dmytro Chygrynskiy.

"I am convinced that Puyol is keen to end his career at Barca," Laporta said. "But I also understand that a player of his age examines the possibility of having an experience outside of Spain."


MOHAMED MPAKANJIA AFARIKI DUNIA

MFANYABIASHARA maarufu na mdau mkubwa wa michezo na burudani nchini, Mohamed Mpakanjia amefariki dunia jana katika hospitali ya jeshi la Lugalo jijini Dar es Salaam ambako mkewe wa zamani Amina Chifupa alifariki.
Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana katika hospitali hiyo ambayo pia alifikia aliyekuwa mkewe Amina Chifupa, Mpakanjia alifariki dunia katika hospitali hiyo majira ya saa saba mchana.
Chanzo chetu cha habari kilichopo katika hospitali hiyo kilisema kuwa mfanyabiashara huyo alifikishwa hopitalini hapo jumamosi iliyopita kutokana na kusumbuliwa na homa ya mapafu.
"Aliletwa hospitalini hapa jumamosi akisumbuliwa na matatizo ya homa ya mapafu. Wakati analetwa alionekana mwenye afya njema lakini hali yake ilibadilika ghafla leo na mauti kumfika," kilisema chanzo hicho cha habari.
Katika uhai wake Mpakanjia alikuwa ni miongoni mwa watu waliotoa mchango mkubwa katika maendeleo ya michezo na burudani hasa kutokana na kusaidia wasanii, wanamuziki na bendi nyingi za muziki hapa nchini.



Alikuwa mfadhili mkuu wa bendi ya DDC Mlimani Park 'Sikinde', Tanzania One Theater 'TOT Plus'.
Pia alidhamini albamu za pamoja za wanamuziki Ramadhani Masanja 'Banza Stone', Ally Choki na kiongozi wa Msondo iitwayo 'Sisi ndiyo Sisi' ya mwaka 2005.

Kwa upande wa sanaa alitoa mchango mkubwa kwa kuwasaidia wasanii wengi wa sanaa ya filamu na maigizo kwa kuwawezesha kifedha kukamilisha kazi zao hizo.
Mungu ailaze roho yake pema peponi.

AMEN


Source: nifahamishe

MTOTO PACHA AZALIWA PASINA KICHWA AFGHANISTAN


MWANAMKE MMOJA WA NCHINI AFGHANISTAN AMEJIFUNGUA WATOTO WAWILI MAPACHA WALIOUNGANA KWENYE KIFUA HUKU PACHA MMOJA AKIWA HANA KICHWA.
MWANAMAMA MMOJA WA NCHINI AFGHANISTAN AMEJIFUNGUA WATOTO WAWILI MAPACHA WA KIUME WALIOUNGANA KWENYE SEHEMU ZA KIFUA PEKEE HUKU PACHA MMOJA WAPO AKIWA HANA KICHWA.

PACHA AMBAYE HANA KICHWA ALIZALIWA AKIWA AMEKAMILIKA VIUNGO VYOTE VINGINE VYA BINADAMU KASORO KICHWA TU.

ALIKUWA NA KIWILIWILI CHA JUU, MIKONO, MIGUU NA VIUNGO VINGINE ISIPOKUWA KICHWA PEKEE NDICHO KILICHOKOSEKANA.

MAPACHA HAO WALIZALIWA SIKU YA ALHAMISI KATIKA HOSPITALI MOJA KASKAZINI MWA AFGHANISTAN.

KWA SIKU CHACHE ZA MWANZO PACHA AMBAYE HAKUWA NA KICHWA ALIKUWA HAI NA ALIKUWA AKIISOGEZA SOGEZA MIKONO NA MIGUU YAKE, LAKINI HIVI SASA AMEFARIKI" ALISEMA DR HOMAYOUN KHAMOOSH WA HOSPITALI YA MJI WA KUNDUZ WALIKOZALIWA MAPACHA HAO.

"HII NI MARA YA KWANZA TUNAONA MAPACHA KAMA HAWA KWENYE MJI HUU WA KUNDUZ" ALISEMA DR HOMAYOUN.
DR KHAMOOSH ALISEMA KUWA MAPACHA HAO WANAHITAJI KUFANYIWA OPERESHENI YA KUWATENGANISHA HARAKA IWEZEKANVYO ILI KUOKOA MAISHA YA PACHA ALIYEZALIWA AKIWA AMEKAMILIKA VIUNGO VYOTE.
"MADAKTARI WAMEAMUA KUFANYA OPERESHENI YA KUWATENGANISHA MAPEMA KABLA YA MWILI WA PACHA AMBAYE HANA KICHWA ALIYEFARIKI HAUJAANZA KUHARIBIKA", ALIDOKEZA DR KHAMOOSH.
MAMA WA MAPACHA HAO MWENYE UMRI WA MIAKA 35 AMBAYE ANA WATOTO WENGINE WANNE, ALIJARIBU KUFICHA SURA YAKE KWA WAANDISHI WA HABARI NA ALIKATAA KUTAJA JINA LAKE.

ZAIN YAFUTARISHA WATOTO YATIMA ZANZIBAR

WAZIRI WA KAZI, VIJANA, MAENDELEO YA WANAWAKE NA WATOTO ZANZIBAR, ASHA ABDALLAH JUMA, AKIMKABIDHI GUNIA LA MCHELE TALIB MACHANO BAADA YA MADRASA YAO YA NURIA KUIBUKA MSHINDI KATIKA SHINDANO LA KUHIFADHI KORAN.
HAFLA HIYO ILIYODHAMINI NA ZAIN TANZANIA ILIFANYIKA MWISHONI MWA WIKI HOTELI YA BWAWANI ZANZIBAR AMBAPO ZAIN PIA ILIFUTURISHA WATOTO YATIMA.
KATIKATI NI MRATIBU WA ZAIN WA KUENDELEZA BIASHARA ZANZIBAR, DOMINICK COY NA KULIA NI MKURUGENZI WA CHUCHU RADIO, YUSUPH CHUCHU.

BINTI WA MIAKA 12 ALIYEOZESHWA KINGUVU, AFARIKI AKIJIFUNGUA


BINTI WA MIAKA 12 ALIYEOZESHWA KINGUVU KWA KIJANA MWENYE UMRI WA MIAKA 25 NCHINI YEMEN AMEFARIKI DUNIA AKIWA LEBA BAADA YA KUHANGAIKA KWA SIKU TATU KUJIFUNGUA MTOTO ALIYEFIA TUMBONI.

MTOTO FAWZIYA ABDULLAH YOUSSEF MWENYE UMRI WA MIAKA 12 ALIYEKUWA AMEOLEWA NA KIJANA MWENYE UMRI WA MIAKA 25 ALIFARIKI DUNIA IJUMAA BAADA YA KUPOTEZA DAMU NYINGI SANA WAKATI AKIJIFUNGUA.

FAWZIYA ALIFARIKI BAADA YA KUTUMIA SIKU TATU NDANI YA LEBA AKIHANGAIKA KUJIFUNGUA MTOTO AMBAYE ALIZALIWA AKIWA AMEFARIKI.
FAWZIYA ALIFARIKI KWENYE HOSPITALI YA WILAYA YA AL-ZAHRA KATIKA JIMBO LA HODEIDA LILILOPO KILOMITA 223 MAGHARIBI MWA MJI MKUU WA YEMEN, SAN'A.

FAWZIYA ALIKUWA NA UMRI WA MIAKA 11 WAKATI BABA YAKE ALIPOMUOZESHA KWA KIJANA MWENYE UMRI WA MIAKA 24 ANAYEFANYA KAZI KWENYE MASHAMBA NCHINI SAUDI ARABIA, ALISEMA AHMED AL-QURAISHI, MWENYEKITI WA TAASISI YA KUTETEA HAKI ZA BINADAMU NCHINI YEMEN INAYOITWA SIYAJ.

AL-QURAISHI ALISEMA KUWA ALIGUNDUA KIFO CHA FAWZIYA HOSPITALINI BILA KUTARAJIA WAKATI ALIPOENDA HOSPITALI KUFANYA UCHUNGUZI KUHUSIANA NA TAARIFA ZA WATOTO WALIOKIMBIA VURUGU KASKAZINI MWA NCHI HIYO.

"HILI NI MOJAWAPO YA MATUKIO MENGI KAMA HAYA YANAYOTOKEA NCHINI YEMEN" ALISEMA AL-QURAISHI.

"SABABU KUBWA NI UKOSEFU WA ELIMU NA KUWALAZIMISHA WASICHANA KUINGIA KWENYE NDOA WAKIWA NA UMRI MDOGO".

WAZAZI MASIKINI MARA NYINGI HUWAGAWA MABINTI ZAO WENYE UMRI MDOGO KWA MALIPO YA MAHARI KUBWA SANA.
PIA SUALA HILI HUCHANGIWA NA TAMADUNI ZA MUDA MREFU AMBAPO WATOTO WA KIKE WANAPOZALIWA HUAHIDIWA KUOZESHWA KWA WAJOMBA ZAO KWA IMANI ZA KUWALINDA NA MAHUSIANO YASIYOFAA.
WANAUME KUOA WATOTO WA KIKE WENYE UMRI MDOGO NI JAMBO LA KAWAIDA KATIKA NCHI YA YEMEN AMBAYO NI MASIKINI KULIKO NCHI ZOTE ZA KIARABU NA AMBAYO TAMADUNI ZA KIKABILA ZINACHUKUA NAFASI KUBWA KATIKA JAMII.
KWA MUJIBU WA TAKWIMU ZA WIZARA INAYOSHUGHULIKIA MASUALA YA JAMII NCHINI YEMEN, KARIBIA ROBO YA WANAWAKE WA NCHINI YEMEN HUOLEWA KABLA HAWAJAFIKISHA UMRI WA MIAKA 15.
HATA HIVYO HAKUNA TAKWIMU ZINAZOONYESHA NI WANAWAKE WANGAPI HUOLEWA WAKIWA NA UMRI MDOGO NCHINI HUMO KILA MWAKA.

TAHADHARI KWA WANYWAJI WA RED BULL


RED BULL Huuzwa katika maduka makubwa (Supermarkets) na madogo (Retail Shops) katika nchi ya Tanzania na watu wazima na watoto wetu wengi wana mazoea ya kunywa kinywaji hiki ambacho kinaweza kusababisha kifo!

Kemikali zinazopatikana katika kinywaji cha RED BULL zilitengenezwa maalum katika maabara za kijeshi za Ma rekani kwa ajili ya kutuliza mzuka wa maaskari wao wakati wakitekeleza mauaji ya kikatili sana dhidi yawananchi wa Vietnam miaka ya sitini na sabini.

Kemikali hizo zilitumikapia kama dawa ya kuwazindua watu waliozirai (“stress coma”). Hazikukusudiwa kutumiwa kama kinywaji au kilevi cha kawaida! Duniani kinywaji hiki (RED BULL) huuzwa kama kitu cha kuleta msismko (Energizer Drink) na matangazo yake yanataja sifa zake kama ifwatavyo:

“Ni kinywaji kinachompa mtu nguvu ya kustahimili na umakini. Humpa mtu kasi ya vitendo” ... na kadhalika.

RED BULL imesambaa katika nchi 100 kwa mpigo (nchi masikini!). Na matangazo yake kuwalenga vijana na watoto, hasa wanamichezo. Hawa ni rahisi kushabikia kinywaji hiki kibaya na kudhurika kiafya baadaye.

Katika hali yake ya matumizi ya sasa kinywaji hiki kiligunduliwa na Mjerumani Dietrich Mateschitz ambaye alikikuta huko Hong Kong kikiwa ni mojawapo ya madawa yaliyotumika katika kutengeneza dawa ya mswaki wa meno.

Dawa hiyo ilitengenezwa kwa kemikali ambazo zina kafeni na taurini (“caffeine and “taurine). Mjerumani huyo aliona vijana wajinga wa huko wakishabikia unywaji wake akaona mwanya wa kufanya biashara na akafanikiwa kukileta ulaya.

ATHARI ZA KUNYWA RED BULL

Kinywaji kinachotengenezwa na kusambazwa leo hivi kina kemikali mbaya iitwayo “Glucuronolactone”, kemikali hatari ambayo ilitengenezwa na idara ya jeshi la Marekani wakati wa vita na Vietnam kwa ajili ya kutuliza mvurugiko wa mwazo wa maaskari wake uliotokana na mauaji ya kinyama waliokuwa wanafanya huko Vietnam.

Kwa sababu ya madhara makubwa ya kinywaji hiki nchi za FRANCE na DENMARK zimepiga marufuku kinywaji hiki na kibatiza jina la “MKOROGO WA UMAUTI”. Katika nchi hizi, utafiti uligundua kuwa maaskari wa Marekani waliotumia kinywaji chenye kemikali ya “GLUCURONOLACTONE” waliishia kupata madhara ya maumivu makali ya kichwa, uvimbe wa ubongo na hata ugonjwa wa ini (Migraines, Cerebral tumours and liver diseases).

Ni kwa sababu hiyo wamarekani waliacha kuwapa maaskari wao hicho kinywaji katika miaka ya sitini na sabini.Jambo la kushangaza ni kuwa lebo ya RED BULL inaonyesha wazi kuwa kinwaji hiki kimetengenezwa kwa kemikali hatari ya “GLUCURONOLACTONE”! Ni kwa sababu hiyo serikali za Denmark na Ufaransa nazo zikapiga marufuku unywaji wa RED BULL.

Pamoja na wauzaji wa RED BULL kuweka bayana kuwa ndani mwake mna hiyo kemikali hatari ya “GLUCURONOLACTONE” lebo ya RED BULL hailezi madhara makubwa yanayoletwa na kemikali hiyo.

Madhara ambayo hayakuwekwa bayana kwa mnywaji ni kama yafuatayo:

1. Ni hatari kwa mtu ambaye hafanyi kazi au mazoezi mazito sana kukitumia kwani kina tabia ya kuongeza msukumo wa damu na kasi ya mapigo ya moyo kiasi kwamba mtumiaji anaweza kupatwa na ugonjwa wa moyo.

2. Mtumiaji anaweza kupatwa na ugonjwa wa damu kuvuja ubongoni kwani RED BULL ina kemikali zinazoifanya damu iwe nyembaba ili moyo upate kusukuma damu nyingi bila kutumia nguvu nyingi.

3. Ni hatari kuchanganya RED BULL na pombe ya aina yoyote kwani mchanganyiko wake huwa ni sumu (“Deadly Bomb”) inayoathiri musuli za in ila mtumiaji na kuiacha katika hali ambayo haitapona kamwe.

4. RED BULL Ina vitamini B12 kwa wingi, vitamini ambayo hutumiwa kama dawa ya kuwazindua wagonjwa mahututi. Matumizi ya vitamini hii katika watu wazima ina athari za kuleta shinikizo la damu na humfanya mtu ajisikie kama mlevi.

5. Unywaji wa RED BULL mara kwa mara huvuruga mfumo ya neva za fahamu nahusababisha maradhi mithili ya mfadhaiko wa akili usioponyeka.

HITIMISHO::RED BULL ni kinywaji HATARI SANA ambacho hapana budi kipigwe marufuku katika nchi zote zinazoendelea kwani ni dhahiri kimetengenezwa na kusambazwa ili kiathiri afya za wananchi wasiojiweza wa nchi hizi masikini. Kwa kuwa wengi katika nchi hizi hutumia pombe za kila aina ni wazi kuwa kinywaji hiki kinalenga kuwamaliza watu wetu – kana kwamba ukimwi uliobuniwa na hao wabaya wetu hautoshi! N I VYEMA TUKAWALINDA WATOTO NA VIJANA WETU LA SIVYO HATUNA WARITHI!

Na mdau Paul Chakupewa C.

Human Resources Officer.

Tanzania Leaf Tobacco Company LTD.Morogoro

email:pchakupewa@ulitanz.com/chaku2002tz@yahoo.com